reli
11 October 2023, 11:30
Waziri Pro. Mbarawa ashusha kibano kwa TRC
Katika kuhakikisha usafiri kwa kutumia treni unaimarika Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa ameagiza watumishi wa Reli kufanya kazi kwa weledi na kujituma ili kuhaikisha wanatoa huduma bora. Na, Tryphone Odace Waziri wa Ujenzi Pro. Makame Mbarawa ameonyesha kutoridhishwa utendaji wa…
10 August 2022, 2:04 pm
TRC kuimarisha ulinzi na usalama wa mizigo kwenye Treni
Na;Mindi Joseph . Shirika la Reli Tanzania limesema limejipanga kuhakikisha linaimarisha ulinzi na usalama wa mizigo ya abiria kwenye Treni kwa kudhibiti vitendo vya wizi vinavyofanyika. Hayo yamebainishwa na Mkurungezi Mkuu TRC Masanja Kadogosa kufuatia changamoto hiyo ambayo imekuwa ikijitokeza…
1 October 2021, 12:49 pm
Wananchi watakiwa kuunga mkono juhudi za asasi zisizo za kiserikali
Na; Nadhiri Hamisi. Wito umetolewa kwa wananchi kuunga mkono juhudi za asasi zisizo za kiserikali kwa kufuata huduma zinazotolewa na asasi hizo ili kuleta maendeleo nchini. Hayo yameelezwa na Bwana Jacob kessy Mkurugenzi wa shirika la youth royal empowerment organization…