Radio Tadio

mkopo

26 Machi 2026, 17:23

Watoto wenye mahitaji maalum wabainishwa Dodoma

Hatua hiyo inaonesha dhamira ya Jiji la Dodoma katika kuhakikisha usawa wa fursa za elimu kwa watoto wote, hususan wale wenye mahitaji maalum, na kuendelea kujenga jamii inayojali na kujumuisha kila mwananchi. Na Mariam Kasawa. Afisa Elimu Maalum Jiji la…