matukio
06/03/2026, 17:16
Teknolojia ya kisasa ziwa Victoria yasaidia usimamizi wa rasilimali za maji
Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria ni taasisi ya serikali inayosimamia rasilimali za maji katika bonde la Ziwa Victoria upande wa Tanzania,Taasisi hii inahakikisha matumizi ya maji yanafanyika kwa njia endelevu. Na Bernard Komba. Bodi ya maji bonde la…
18 Januari 2024, 11:23
Matukio 53 ya ajali yaripotiwa kutokea mwaka 2023 Mbeya
Na Ezekiel Kamanga Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya SF Malumbo Ngata ametoa taarifa ya miezi sita ya matukio mbalimbali hamsini na tatu yalliyoripotiwa Mkoani Mbeya likiwemo la vifo vya watoto wawili waliofariki baada kutumbukia kisima…
26 Disemba 2023, 3:59 um
Matukio makubwa Ngorongoro
Matukio makubwa kwa wilaya ya Ngorongoro kwa wiki mbili zilizopita na yaliyowagusa wananchi walio wengi wilayani hapa ni pamoja na ujio wa mkuu mpya wa wilaya wengi wakisubiri kuona utendaji wake wa kazi. Na Edward Shao. Haya hapa ni matukio…