Radio Tadio

Maralia

10 July 2024, 3:00 pm

Watakaotumia vyandarua kufugia vifaranga, bustani kukiona

Mkoa wa Mwanza umepokea vyandarua Milioni 1.4 kwenda  Halmashauri 6 vitagawiwa kwa wananchi bila malipo zikilenga kaya zote ambazo zinakabiliwa na changamoto ya ugonjwa Maralia  Na:Elisha Magege Katika jitihada za kupambana na ugonjwa wa maralia nchini Halmashauri ya Sengerema inatarajia…