Radio Tadio

Mahudhurio

22 Septemba 2025, 2:20 um

Mkutano wa klabu za wasichana Amani wafanyika Dodoma

Walimu kutoka mikoa minne tofauti hapa Tanzania, walieleza furaha yao juu ya kuhusika katika mkutano huo na kuelezea namna wanavyonufaika na programu hii. Na Seleman Kodima.Mkutano wa pili wa mwaka wa walezi wa Klabu za Msichana Amani umefanyika jijini Dodoma,…