Radio Tadio

Mahindi

16 January 2024, 14:16

Mahindi Rungwe yaanza kukauka

Na mwandishi wetu Katika Ukanda wa juu na kati katika Halmashauri ya wilaya ya Rungwe baadhi ya mashamba mahindi yameanza kukauka. Pamoja na kukauka bado mvua inaendelea kunyesha katika kata zote ikilenga kustawisha mazao mbalimbali. Wakulima Mnakumbushwa kuvuna kwa wakati…

29 March 2023, 2:11 pm

Wananchi Ndogowe walalamika kuuziwa mahindi bei ghali

Mfumo huu wa usambazaji wa mahindi ya Bei nafuu unalenga kukabiliana na janga la njaa ambalo pia huchangia kupanda kwa bei ya vyakula. Na Victor Chigwada.                                                       Imeelezwa kuwa pamoja na jithada za Serikali kusambaza msaada wa mahindi ya Bei…