Radio Tadio

Kazi

7 Mei 2026, 16:32

Ihumwa watakiwa kuripoti matukio ya uhalifu

Aidha amesema watu wa eneo hilo wamekuwa na tabia ya kuto kufuatilia kesi za wizi kutokana na kudai watu wanaofanya matukio hayo ni watu wao wa karibu. Na Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa Ihumwa A wametakiwa kutumia fursa ya…

12 Febuari 2026, 14:37

Kutembeza mifugo nyakati za usiku ni kosa kisheria

Wananchi wa Wilaya ya Ihumwa wanasema mifugo inapo pelekwa machinjioni nyakati za usiku huchanganywa na mifugo iliyo ibiwa. Na Victor Chigwada. Wananchi wa kata ya Ihumwa wamelalamika mifugo inayopitishwa nyakati za usiku kwenda machinjioni wakidai kuwa huchanganywa kati ya mifugo…

10 Febuari 2026, 11:51

Wananchi Ihumwa wataka suluhisho wizi wa mifugo

Hayo yana jiri ikiwa ni siku chache tangu familia moja kuibiwa Ngombe wote walio kuwa zizini katika kitongoji Cha Ilolo kata ya Ihumwa. Na Victor Chigwada.Changamoto ya wizi wa mifugo imebua sauti za wakazi wa Mtaa wa Ihumwa na viunga…

14 Febuari 2023, 17:41

Madiwani waridhia wawili kufukuzwa kazi Kwa uzembe wao

Na, Lilian martin Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Masasi, Wilayani Masasi, Mkoani Mtwara kupitia Baraza la Madiwani kwa kauli moja wameridhia kuwafukuza kazi wauguzi wawili wanaofanya kazi katika Hospitali ya Mkomaindo, Wilayani Masasi Wauguzi hao wanadaiwa kufanya uzembe wa…