Radio Tadio

jukwaa

28 August 2026, 16:10

TACAIDS kujumuisha watu wenye ulemavu mapambano dhidi ya UKIMWI

Kampeni hiyo inalenga kuwafikia watu wenye ulemavu wengi zaidi na kuwahamasisha kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya UKIMWI, huku akisisitiza kuwa mafanikio ya Tanzania katika kudhibiti ugonjwa huo yanahitaji ushiriki wa kila mwananchi. Ameongeza kuwa juhudi za kupambana na UKIMWI…

2 July 2026, 16:53

Tufikie Malengo ya 95-95-95 kutokomeza maambukizi mapya ya VVU

Mapambano dhidi ya UKIMWI ni suala mtambuka linalohitaji ushiriki wa kila idara. Na Stephen Noel. Jamii Wilaya ya Mpwapwa imetakiwa kuongeza juhudi katika kuzuia maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI na kuhakikisha watu wote waliogundulika wanaishi na virusi wanatumia dawa…

22 September 2023, 9:37 am

Wilaya ya Bunda yakamilisha kuunda jukwaa wakulima wadogo

Imeelezwa kuwa wilaya ya Bunda mkoani Mara, wamekamilisha uundaji wa jukwaa la wakulima wadogo lenye wadau mbalimbali akiwa ni pamoja na wakulima wenyewe. Na Thomas Masalu Imeelezwa kuwa wilaya ya Bunda mkoa wa Mara, wamekamilisha uundaji wa jukwaa la wakulima…