hifadhi
3 December 2024, 12:08 pm
Viongozi wa dini watakiwa kupinga vitendo vya ukatili
Kwa mujibu wa Ofisi ya maendeleo ya jamii Mkoani Dodoma kuanzia Januari hadi Agosti mwaka 2024 matukio ya ukatili yaliyoripotiwa mkoani Dodoma niĀ 2,352, ambapo ukatili kwa watoto ni 629 huku watu wazima ni matukio 1,723 (wanaume 350 na wanawake…
July 10, 2023, 11:35 pm
Wananchi halmashauri ya Ushetu kunufaika na hifadhi ya Kigosi
Serikali imegawa hifadhi ya Kigosi iliyopo katika halmashauri ya Ushetu takriban kilometa 7,000 kwa ajili ya wananchi kufanya shughuli mbalimbali Na Sebastian Mnakaya Wananchi wa halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga watanufaika na hifadhi ya Kigosi baada ya serikali…
15 December 2022, 10:24 am
Majaliwa amewataka TFS kuangalia upya utoaji wa vibali vya ukataji miti.
MLELE Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) kuangalia upya utolewaji wa vibali vya ukataji miti ili kuthibiti ukataji miti na kutunza mazingira. Akizungumza na watumishi wa umma katika halmashauri ya…
10 August 2022, 2:18 pm
Hifadhi ya swagaswaga kuendelea kuboresha miundombinu kwaajili ya watalii
Na; Benard Filbert. Uongozi wa hifadhi ya pori la akiba Swagaswaga wilayani Chemba mkoani Dodoma amesema unaendelea kuboresha miundombinu ya hifadhi hiyo lengo kuandaa mazingira rafiki kwa watalii. Hayo yameelezwa na Donard Shija Mkuu wa Kitengo cha Ujirani mwema kutoka…
1 October 2021, 1:04 pm
Waziri mkuu awataka viongozi wa Dini na waumini kuacha kutumia majukwaa ya dini…
Na; Fred Cheti. Serikali imesema kuwa itaendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi zote za dini nchini zenye nia safi na thabiti katika kuhakikisha kuwa miradi mbalimbali ya kijamii na kiroho yenye manufaa kwa umma inafanikiwa. Kauli hiyo imetolewa leo Oktoba mosi…