Radio Tadio

Damu

18 Disemba 2025, 4:10 um

Mahudhurio hafifu mkutano wa mtaa mwenyekiti avunja kikao

Mkutano ulioitishwa ulikuwa na ajenda muhimu kama vile ardhi hivyo ni vigumu kuendesha ajenda hizo muhimu na kuchangia na mawazo ya watu wachache. Na Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa Ihumwa A wametakiwa kuhudhuria mikutano ya mtaa ili kushiriki maamuzi…

24 Julai 2023, 1:19 um

Mwitikio kuchangia damu Geita mjini ni mdogo

Uhitaji wa damu salama katika Hospitali ya Halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita ni Mkubwa kuliko inayopatikana kutoka kwa watu wanaochangia. Na Kale Chongela: Mwitikio wa wananchi kuchangia damu salama  bado ni Mdogo ukilinganisha na uhitaji katika Hospitali ya…

15 Mei 2023, 8:10 um

Wananchi wahimizwa kuendelea kuchangia damu

Uchangiaji wa Damu bado unatajwa kuwa muhimu katika kuokoa maisha ya watu wenye uhitaji. Na Mindi Joseph. Mwitikio wa Wanafunzi,Taasisi na wadau mbalimbali kuchangia Damu umetajwa kuondoa uhaba wa damu  na kuvuka malengo ya uchangiaji katika kitengo cha Damu salama…