Radio Tadio

corona

20 Januari 2026, 5:12 um

Manyara watakiwa kuwatumia mawakili wenye weledi

Wananchi  mkoani Manyara wametakiwa  kutumia mawakili na wanasheria wenye weledi  katika utatuzi wa kesi mbalimbali  ili  changamoto zao  zitatuliwe  kwa wakati. Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa mkoa wa manyara Queen Sendiga, ameyasema hayo leo wakati  akizindua  kamati  ya ushauri wa…

18 Disemba 2025, 4:56 um

NIDA yawataka wananchi Manyara kusahihisha taarifa zao

Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kufika katika ofisi za Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili kufanya mabadiliko na kusahihisha taarifa zao za awali ambazo sio sahihi katika Vitambulisho vyao vya taifa NIDA. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na…

24 Oktoba 2025, 6:03 um

Reuben Sagayika atembelea wananchi mbalimbali Kalangalala

Zimesalia siku 4 ili wananchi nchini waweze kushiriki haki ya msingi na ya kikatiba ya kupiga kura kuchagua madiwani, wabunge na Rais. Na: Ester Mabula Mgombea Udiwani wa kata ya Kalangalala kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Reuben Sagayika…

18 Oktoba 2025, 3:52 mu

Dkt. Jafari aahidi kuibeba ajenda ya halmashauri mpya

Ni mchaka mchaka kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu, ambapo mgombea wa Ubunge Jimbo la Busanda kwa tiketi ya CCM ameendelea kusaka kura kwa wananchi. Na: Ester Mabula Mgombea Ubunge wa jimbo la Busanda kupitia tiketi ya…

11 Oktoba 2025, 6:37 um

Wanawake Geita wajipanga kumpokea Dkt Samia

Ujio wa Dkt. Samia unaleta ari mpya ya kisiasa na ni fursa ya kumpongeza kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuendeleza miradi mikubwa ya maendeleo nchini. Na Mrisho Sadick: Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Geita na Wananchi…

10 Oktoba 2025, 6:51 mu

UVCCM (W) Geita waongoza mbio mapokezi ya Dkt. Samia

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufika mkoani Geita Oktoba 13, 2025 ikiwa ni mwendelezo wa kampeni za chama hicho. Na: Ester Mabula Umoja wa vijana wilaya ya Geita umeongoza mbio za picha ya mgombea…

10 Oktoba 2025, 5:37 mu

Eng. Chacha, Sukambi waahidi kuijenga Nyankumbu mpya

“Chacha ni Nzagamba lililoshiba, liko tayari kwaajili ya kuleta maendeleo katika jimbo la Geita mjini na kuendeleza kutekeleza ilani ya CCM” – Chacha Wambura Na: Ester Mabula Katika mwendelezo wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Geita mjini kwa tiketi…