Radio Tadio
Barabarani
23 July 2023, 8:35 pm
Gari lililobeba mashabiki wa Yanga laua na kujeruhi Bunda
Mashabiki wa club ya Yanga wamesherekea kilele cha siku ya mwananchi kwa masikitiko baada ya miongoni mwa gari lililokuwa limebeba mashabiki wa timu hiyo mjini Bunda kupata ajali iliyosababisha vifo vya watu wawili na kujeruhi wengine 14. Na Adelinus Banenwa…