Alizeti
14 July 2023, 4:44 pm
Wakulima wa Jangwani Laikala walia kukosa mavuno ya alizeti
Zao la alizeti limekuwa maarufu kutokana na mafuta yake kupendwa na watu wengi kwa sababu hayachanganywi na kemikali yoyote na bei yake imekuwa ikipanda na kushuka lakini Mei 29 2023 Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde alisema Serikali ipo mbioni…
27 June 2023, 7:37 pm
AMDT yawakutanisha wabunge wa Lindi, Mtwara kujadili zao la alizeti
Taasisi ya kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Tanzania katika kuinua sekta ya kilimo nchini, imeamua kuanza na mikoa ya Lindi na Mtwara kulifanya zao la alizeti kuwa zao la kimkakati katika mikoa hiyo. Na Mindi Joseph. Zao la alizeti…
21 June 2023, 3:47 pm
Wakulima wa alizeti Bahi walalamika kuporomoka kwa bei
Wakulima hao wanasema wanalazimika kuuza alizeti kwa bei ndogo ili waweze kupata fedha za kujikimu . Na Bernad Magawa. Wakulima wa zao la alizeti wilayani Bahi wamelalamikia kuporomoka kwa bei ya zao hilo ambalo limejipatia umaarufu hivi karibuni na kuwa…
15 May 2023, 6:48 pm
Wakulima wa alizeti Bahi wahimizwa kuzingatia matumizi sahihi ya pembejeo
Wakulima wa alizeti Bahi wahimizwa kuzingatia matumizi sahihi ya pembejeo ili kuzalisha zao hilo kwa wingi na ubora unaotakiwa nchini. Na Bernad Magawa Wakulima wa zao la alizeti wilayani Bahi wameshauriwa kutumia kwa usahihi pembejeo za kilimo ili waweze kuwa…
1 May 2023, 4:53 pm
Wakulima wa Alizeti walalamika uzalishaji hafifu
Katika mwaka 2019/2020 uzalishaji wa alizeti nchini umefikia tani 649,437 ikilinganishwa na tani 561,297 kwa mwaka 2018/2019. Na Mindi Joseph. Wakati Mkoa wa Dodoma ukitegemewa zaidi katika uzalishaji wa mafuta ya alizeti wakulima wamesema mwaka huu uzalishaji wao ni hafifu.…
23 February 2023, 3:19 pm
Alizeti yawanufaisha wakulima Dabalo
Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa mikoa inayotegemewa zaidi katika zalishaji wa mafuta ya alizeti. Na FRED CHETI Upatikanaji mzuri wa mbegu za alizeti katika kijiji cha Dabalo wilayani Chamwino umetajwa kuwa chachu kwa wakulima wengi ndani ya kijiji hicho…
16 November 2022, 12:28 pm
Zaidi ya billioni 474 zinatumika kuagiza mafuta nje ya Nchi
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa iwapo mkakati wa kukuza na kuongeza uzalishaji katika zao la alizeti ukifanikiwa,serikali itafanikiwa kuokoa fedha nyingi ambazo zinatumika kuagiza mafuta ya kula nje ya Nchi . Akizungumza katika mahojiano maalumu na Dodoma fm naibu waziri…
19 July 2022, 11:14 am
Mkoa wa Dodoma kuanza mkakati mpya wa kilimo cha Alizeti
Na; Benard Filbert. Serikali ya mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na wizara ya viwanda na biashara inatarajia kuanza mkakati mpya wa kilimo cha alizeti ili kuhamasisha watu kujihusisha na kilimo hicho kwa wingi. Hayo yameelezwa na mkuu wa mkoa wa…
21 September 2021, 12:51 pm
Jamii yaaswa kuacha kutupa ovyo barakoa zilizo tumika
Na; Benard Filbert. Jamii imetakiwa kuacha kutupa hovyo barakoa zilizotumika ili kuepuka kusababisha magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa. Hayo yameelezwa na afisa afya wa jiji la Dodoma Abdallah Mahiya wakati akizungumza na taswira ya habari kuhusu athari za utupaji…