
Afya.

12 March 2025, 6:07 pm
Madereva wa magari madogo ya abiria wagoma kufanya usafirishaji Bariadi
“Hoja za madereva wa daladala mkoa wa Simiyu naomba zisikilizwe maana kuna hoja kubwa sana ni kweli serikali yangu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imejenga stund tena nzuri kweli ya kisasa lakini sasa hatuwezi kuwachanganya hawa tunaenda kuua biashara…

10 March 2025, 18:46 pm
Zaidi ya tani 9,000 za salfa zawasili bandari ya Mtwara
Hii ni meli ya kwanza kati ya meli nne zinazotarajia kubeba tani 40,000 za pembejeo ya zao la korosho kwa msimu wa mwaka 2025/2026 ambapo kwa mujibu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho wakulima wanahitaji tani 40’000 ili kufanikisha uzalishaji…

17 February 2025, 3:26 pm
Wananchi Narusunguti washukuru kujengewa zahanati
Wananchi wa kijiji cha Narusunguti hatimaye waagana na changamoto ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya katika maeneo jirani. Na: Edga Rwenduru – Geita Wananchi wa kijiji cha Narusunguti kata ya Busonzo wilaya ya Bukombe mkoani Geita wameishukuru serikali…

4 February 2025, 1:20 pm
Chatu mwingine aonekana Msasani, hofu yatanda kwa wananchi
Wananchi na viongozi wakisafisha eneo ambalo chatu alimmeza mbwa. Picha na Anna Mhina “Chatu mwingine aonekana mtaa wa Msasani akimeza mbwa” Na Anna Mhina Hofu imetanda kwa wakazi wa mtaa wa Msasani uliopo kata ya Mpanda hotel manispaa ya Mpanda…

22 January 2025, 1:05 pm
Vitambulisho elfu 12 vyakwama ofisi za NIDA Bunda
Vitambulisho elfu 12 ni kati ya vitambulisho 62,370 vilivyoletwa Bunda. Na Adelinus Banenwa Afisa usajili mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA wilaya Bunda Fredson John Samwel amesema zaidi ya vitambulisho elfu 12, vimerejeshwa ofisi za NIDA wilaya kutoka kwenye ofisi…

18 January 2025, 08:01
Askofu Pangani aungana na wanawake wa Moravian kumuenzi Mch. Luise Plock
Safari ya dunia ni fupi ambapo inamfanya kila mtu kutafakari namna ya kumpendeza Mungu ili kuwa na mwisho mwema. Na Hobokela Lwinga Askofu kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi Robert Pangani ameongoza na kushiriki ibada ya kuenzi na…

17 January 2025, 11:14 am
Chatu aliyeleta taharuki mtaa wa Kasimba auwawa
“Wananchi wameomba msako uendelee kufanyika ili kubaini endapo kuna chatu wengine“ Na Anna Milanzi- Katavi Wananchi wa mtaa wa Kasimba kata ya Ilembo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameshukuru kwa msako uliofanyika na kufanikiwa kumuua nyoka aina ya chatu huku…

14 January 2025, 21:33 pm
RC aiomba CCM achukue hatua dhidi ya wahujumu wa wakulima wa korosho
Hiki ni kikao cha halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi CCM kilicholenga kutoa taarifa za utekelezaji wa ilani pamoja na changamoto zilizojitokeza katika miradi na jamii kwa ujumla Na Musa Mtepa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala, ameiomba…

29 December 2024, 22:03 pm
TARI Naliendele yajizatiti kutoa elimu ya kilimo Msangamkuu Beach Festival
Msangamkuu Beach Festival msimu wa nne umekuwa wa kipekee na hii ni kutokana na uwepo wa mabanda ya taasisi mbalimbali inayotoa elimu kwa wananchi juu ya huduma zinazotolewa na taasisi husika. Na Musa Mtepa Kituo cha Utafiti na Kilimo TARI-Naliendele…

26 December 2024, 21:04
Wakristo watakiwa kuthamini ibada ya kumtolea Mungu sadaka
Sadaka ni moja ya ibada ambayo inapewa nafasi kwenye maeneo mengi na zipo sadaka zinatolewa maeneo mbalimbali ikiwemo miungu,je ipi maana halisi ya sadaka kibiblia. Na Hobokela Lwinga Mwenyekiti wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Mbozi mch.Lawrance Nzowa amewataka…