Storm FM

elimu

16 May 2025, 9:51 pm

Vijana Karagwe waaswa kuchunguza wenza kabla ya kuoa

Siku ya familia duniani wilayani Karagwe imeadhimishwa kwa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu mambo kadhaa yanayowezesha ustawi wa familia Na Shabani Ngarama, Karagwe Afisa ustawi wa jamii wilayani Karagwe mkoani Kagera bi Owokusima Kaihura amewaomba vijana kuchunguza wenza kabla ya…

14 May 2025, 8:58 am

GGML, TAKUKURU waikumbusha jamii kupinga rushwa

Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Geita ikishirikiana na GGML wafungua warsha ya siku 2 kwa lengo la kutoa elimu juu ya kukabiliana na Rushwa. Na: Ester Mabula: Warsha hiyo, iliyoanza jana Mei 13, itaendelea leo…

17 April 2025, 10:49 am

Community policing outreach yahitimishwa Nyarugusu

April 16, 2025 mkoa wa Geita kupitia Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na GGML umehitimisha program iliyokuwa na lengo la kutoa elimu kwa Jamii juu ya kukabiliana na vitendo vya uhalifu. Na: Ester Mabula: Programu ya kutoa elimu kwa jamii…

12 April 2025, 8:42 pm

GGML, polisi wapongezwa elimu ya usalama

Jamii imeendelea kunufaika na elimu ya usalama pamoja na kukabiliana na vitendo vya uhalifu inayoendelea kutolewa mkoani Geita. Na: Ester Mabula: Wananchi wa mtaa wa Nyantorotoro A kata ya Nyankumbu katika halmashauri ya manispaa ya Geita wametoa pongezi kwa Jeshi…

9 April 2025, 11:44 am

RPC Geita: Usikubali askari akukamate bila kujitambulisha

Program maalumu ya utoaji elimu ya kukabiliana na uhalifu kwa makundi mbalimbali ya watu katika Jamii mkoani Geita bado inaendelea tangu ilipozinduliwa Aprili 04, 2025. Na: Ester Mabula: Jeshi la polisi mkoani Geita limewataka wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote…

19 March 2025, 4:42 pm

Sekondari ya Mbabani yaondoa kikwazo kwa wanafunzi

Ikiwa leo imetimia miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakazi wa mtaa wa Mbabani kata ya Mtakuja, halmashauri ya manispaa ya Geita wamshukuru kwa kuwajengea shule ya sekondari. Na: Ester Mabula – Geita Viongozi na wananchi wa…

24 February 2025, 7:04 pm

Buhaya Tegeka watoa shilingi milioni 1.5 kwa watoto Missenyi

Kikundi cha mtandao wa WhatsApp kijulikanacho kama Buhaya Tegeka wilayani Missenyi mkoani Kagera kimetoa mfano wa kunufaisha jamii kuliko kujinufaisha chenyewe kwa kuchangia vitu kadhaa vya mahitaji ya watoto Na, Respicius John, Missenyi-Kagera Kikundi cha mtandao wa Whatsapp cha Buhaya…