Sibuka FM
VIWANDA
21 February 2022, 3:47 pm
Simiyu:serikali ya mkoa wa Simiyu kufufua viwanda viwili vya pamba
Na mwandishi,Daniel Manyanga,Simiyu Serikali mkoani Simiyu inatarajia kufufua viwanda viwili ambavyo vilijengwa wakati wa ukoloni lengo likiwa ni kuwawezesha wananchi hususani wakulima wa zao la pamba kupata huduma na soko la karibu. Hayo yameelezwa na mkuu wa mkoa wa Simiyu…