Sibuka FM
UTAWALA.
22 February 2022, 6:02 pm
Taasisi ya TWAWEZA yatoa Mafunzo Kwa Waraghabishi Wilayani Mas…
Jumla ya Waraghabishi Thelathini na sita (36) kutoka kata 18 za wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu wamepewa Mafunzo ya kuwawezesha kuibua changamoto na Vipaumbele vya Maendeleo kwenye maeneo ya vijiji vyao. Akizungumza na Sibuka Fm Meneja Programu kutoka Shrika la …