Sengerema FM
kifo
14 March 2024, 3:20 pm
Yusuph Hodari akutwa amefariki uwanjani Sengerema
Jeshi la polisi wilayani Sengerema limefika eneo la tukio na kuchukua mwili wa marehemu Yusuph Hodari aliyekutwa amefariki dunia eneo la Mnadani, kisha kuupeleka katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema kwa ajili ya uchunguzi zaidi. Na:Emmanuel Twimanye Mtu mmoja…