Sengerema FM

Uncategorized

4 April 2021, 8:54 pm

Makamu wa rais atoa maagizo mazito kwa TRA Nchin

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amewataka Watumishi wote wa Umma na Watanzania kufanya kazi kwa Bidii, Uadilifu na weledi pamoja na  kumtanguliza Mwenyezi Mungu. Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mpango ameyasema…

3 April 2021, 8:34 am

SERIKALI YASITISHA BEI MPYA ZA VIFURUSHI VYA INTANETI

Kufatia malalamiko ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya Internet Nchini,baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye. Uamuzi huo ni habari njema kwa watumiaji wa mitandao ya simu…

2 April 2021, 11:53 am

Elimu bei elekezi ya vifurushi kizungumkuti.

Leo kanuni ndogo za gharama na tozo za vifurushi, utangazaji wa huduma na ofa maalumu imeanza kutumika Nchini ambapo wadau wameomba elimu izidi kutolewa juu ya kanuni hiyo mpya. Mwanzoni mwa mwezi uliopita, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania…

29 March 2021, 7:54 pm

Wafanyabiashara mjini wazidi kumulilia Jpm

Wafanyabiashara wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, wamlilia hayati Dkt John Pombe Magufuli huku wakidai kumuenzi kwa kufanya kazi. Wakizungumza wakiwa katika Soko la mnadani lililopo kata ya Nyampulukano wilayani Sengerema wafanya biashara hao wamesema kuwa katika kuendelea na maombolezo ya siku…

28 March 2021, 12:53 pm

Rais Mh.Samia Suluh Hassan aanza na mkurugenzi TPA

Akitoa Ripoti hiyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kicheere  amesema CAG imeendelea kubaini dosari ya matumizi za fedha yanayofanywa na taasisi na mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa. CAG amesema kati ya hati…