Pangani FM
USALAMA
4 January 2021, 1:25 pm
Polisi Pangani inawashikilia vijana hawa kwa kosa la Kupiga Baruti.
Jeshi la Polisi wilayani Pangani Mkoani Tanga linawashikilia Vijana watatu wakazi wa Pangani Mjini kwa kosa la kupiga Baruti usiku wa kuamkia 1/1/2021 katika eneo la Mnyongeni kwa Mfuga Mbwa Hayo yamezungumzwa na kamanda wa Polisi wilaya ya Pangani Mrakibu…