Pangani FM
UCHUMI
1 January 2021, 6:24 pm
Mchakato wa awali ujenzi wa Soko kubwa la Samaki Kipumbwi waanza rasmi.
Zoezi la utafiti wa awali kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la Samaki katika kata ya Kipumbwi Wilayani Pangani Mkoani Tanga limeanza hapo jana kwa wataalam kutoka wizara ya Mifugo na Uvuvi kutembelea eneo linaloratajiwa kufanyika ujenzi wa mradi huo.…