Pangani FM

SERIKALI

23 June 2021, 4:25 pm

Zainab Abdallah awaaga Wananchi wa Pangani.

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Zainab Abdallah Issa ambaye sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, amewaaga rasmi wananchi na viongozi wa Pangani, pamoja na wadau Wilayani humo kupitia kituo cha Pangani FM. Akizungumza kupitia Pangani FM Bi.Zainab…

30 March 2021, 6:41 pm

Mpango kuapishwa kesho

Makamu wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango kesho tarehe 31 Machi, 2021 ataapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hafla ya kuapishwa kwa Dkt. Mpango itafanyika Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma…

19 March 2021, 10:52 am

Wasifu wa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan

Mama Samia Suluhu Hassan alizaliwa Januari 27 mwaka 1960 huko visiwani Zanzibar. Alipata elimu ya msingi katika shule za msingi za Chawaka huko Unguja, Ziwani huko Pemba na Mahonda iliyopo Unguja  kati ya mwaka  1966 na 1972. Alisoma katika shule ya Sekondari  Ngambo iliyopo Unguja…