Pangani FM

MAOMBI

5 March 2021, 10:49 pm

Wanawake Pangani waadhimisha siku ya Maombi.

Wanawake wa madhehebu mbalimbali ya  Kikristo  wilayani Pangani mkoani Tanga leo wameshiriki katika  maadhimisho ya siku ya maombi ya Wanawake duniani yenye lengo la kuombea Amani na mambo mengine. Akizungumza na PANGANI FM  mchungaji FELIX ELIASI MSUMARI wa kanisa la…