Pangani FM

JAMII

7 January 2021, 9:16 am

Mama ajifungua Watoto Mapacha Watatu Pangani

Mwanamke  mmoja mkazi wa kijiji cha Kwakibuyu Wilayani Pangani Mkoani Tanga amejifungua watoto mapacha watatu siku ya  Januari Mosi 2021. Pangani FM imemfikia Mwanamke huyo na kufanya naye mahojiano akiwa katika wodi ya wazazi ya Hospitali ya Wilaya ya Pangani.…