Pambazuko FM Radio
Ulanga
29 June 2021, 6:13 am
Tembo Wavamia Mashamba,Wala Mazao Ulanga
Na: Katalina Liombechi Wakulima wa Mashamba ya Luhogi katika kata ya Minepa wamelalamikia Tembo kufanya uharibifu wa Mazao yao hali ambayo inaweza kuwapelekea kukumbwa na baa la njaa kwa Mwaka huu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakulima hao akiwemo Costasia David,Athman…