Pambazuko FM Radio
Chakula
8 April 2024, 4:42 pm
Mbunge Asenga aiomba Serikali msaada wa dharura wa chakula kwa Wahanga wa Mafuri…
“Mpaka sasa Mh Naibu spika zaidi ya wananchi 300 wamehifadhiwa katika baadhi ya Shule,Je serikali na Wizara inamsaidiaje kupata chakula cha dharula kwa wananchi wa Jimbo la Kilombero?“-Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh,Abubakar Asenga Na Elias Maganga Mbunge wa Jimbo…