Mufindi FM

Muungano

19 April 2024, 20:04

Ni Muungano wa usafi

Na Jackson Machowa-Mufindi Kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano Tanganyika na Zanzibar yatakayoadhimishwa April 26 wakurugenzi wa halmashauri za Mji wa Mafinga na Wilaya ya Mufindi wamewaongoza watumishi wa halmashauri hizo kufanya usafi katika hospitali ya wilaya ya Mufindi…