Mpanda FM

Uwajibikaji

17 May 2025, 5:39 PM

NBC yamimina neema kwa wakulima Mtwara, Lindi

Kampeni ya NBC Shambani inatarajia  kuanza  rasmi juni 1 na itahitimishwa Julai 31 2025, ambapo wanaojihusisha  na biashara ya kilimo ambao ni wateja wa NBC, watakaokidhi vigezo watapatiwa  zawadi Na Neema Nandonde Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), imezindua rasmi …

6 May 2025, 12:24

Mafuriko yanufaisha vijana kwa kuvusha watu Kibirizi

Licha ya shuruba wanazokutana nazo wananchi wanaoishi katika maeneo yaliyoathirika mafuriko Katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, baadhi ya vijana wametumia mafuriko hayo kuwa fursa kwa kujipatia kipato kupitia kuwabeba watu wanaovuka. Na Josephine Kiravu Baadhi ya vijana katika eneo la…

5 May 2025, 12:28

Madiwani watakiwa kutoa elimu ya usalama Kasulu

Viongozi wa Serikali za mitaa na vijiji wametakiwa kusaidia kuwaelesha wananchi juu ya usalama katika maeneo yao Na Hagai Ruyagila-Kasulu Madiwani wa halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kutoa elimu ya usalama katika maeneo yao hii ni…

21 April 2025, 11:32

Mvua yaua watoto viwili, kaya 60 zajaa maji Kigoma

Mabadiiko ya tabianchi yamepelekea mvua nyingi kunyesha katika maeneo mbalimbali ambapo mwaka 2023, zilisababisha  nyumba zaidi ya mia moja sabini, kuvamiwa na maji huku zikiacha madhara na mwaka huu zimesababisha vifo vya watoto wawili Na Kadislaus Ezekiel Mvua Zinazoendela Kunyesha Mkoani…

16 April 2025, 5:31 pm

Soko la Mwanakwerekwe lavamiwa na wizi wa honda

Na Mary Julius. Wafanyabiashara wa Soko la Mwanakwerekwe wameiomba Serikali kumsimamia muwekezaji wa Soko hilo kuimarisha ulinzi na Usalama wa vyombo vyao katika maeneo ya maegesho ili kuweza kufanya biashara bila ya kuwa wa wasiwasi wa usalama wa vyombo vyao.Wakizungumza…

9 April 2025, 13:20

Serikali kumaliza mgogoro wa ardhi Kasulu

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu amewaomba wananchi kutozuia ujenzi wa mradi kwani serikali itahakikisha wanalipwa fidia zao Na Hagai Ruyagila Serikali katika halmashauri ya mji Kasulu Mkoani Kigoma imejipanga kumaliza mgogoro wa Ardhi katika kata ya Nyumbigwa…