Mpanda FM

BIASHARA

19 April 2024, 11:41 pm

Rais wa chemba ya wafanyabiashara nchini azitaka taasisi binafsi kuungana

Rais wa chemba  ya wafanyabiashara Tanzania [TCCIA] Vicent Bruno Minja akizungumza na wafanyabiashara mkoani Katavi.Picha na Veronika Mabwile “changamoto zinashindwa kutatuliwa kutokana na wafanyabiashara wenyewe kutokuwa na umoja“ Na Veronika Mabwile -Katavi Rais wa chemba  ya wafanyabiashara Tanzania [TCCIA] Vicent…

3 November 2022, 5:58 am

Wanawake Mkoani Katavi Wameeleza Walivyonufaika na Wiki ya Mwanakatavi

KATAVI Baadhi ya wanawake wajasiliamali mkoani Katavi wameeleza namna ambavyo wamenufaika na maonesho ya wiki ya Mwanakatavi yanayolenga kuhamasisha kilimo na Utalii. Wakizungumza wakati wa maonesho hayo wajasiliamali hao wamesema maonesho hayo licha ya kuwanufaisha kibiashara pia wanapata nafasi ya…

19 November 2021, 10:44 am

Wafanyabiashara Soko la Matunda Walia na Vibanda

Baadhi ya wafanyabiashara soko la matunda lililopo mtaa wa kawajense Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameuomba uongozi wa soko kuwawekea mfumo mzuri wa uwepo wa vibanda vya kuuzia bidhaa zao. Wakizungumza na mpanda radio FM wafanyabiashara hao wamezitaja changamoto…