Mpanda FM

HIFADHI

28 March 2024, 1:18 pm

Waliochomewa tumbaku Mpanda kutafutiwa ufumbuzi

“Katika uvamizi huo jumla ya majengo kumi ya kukaushia Tumbaku yamechomwa moto pamoja na stoo mbili pamoja na wananchi hao kuchukuliwa mali zao ikiwemo simu za mkononi pamoja na fedha.” Picha na Betord chove Na Bertod Chove-katavi Serikali wilayani Mpanda…

7 March 2024, 3:29 pm

Wanawake Katavi wapanda miti kutunza mazingira

“Miti hiyo inayopandwa itakuwa ni kumbukumbu ya maadhimisho ya siku ya mwanamke mwaka huu lakini pia ni sehemu uendelezaji wa utunzaji mazingira mkoani hapa“ Na Deus Daud-katavi Kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya mwanamke dunianiĀ  manispaa ya Mpanda imefanya…

30 March 2022, 4:59 pm

Uvamizi Misitu: Kilio kwa Sokwe Mtu

Uvamizi wa maeneo ya hifadhi za misitu mkoani Katavi imetajwa kuwa chanzo cha mnyama  sokwe mtu kuendelea kupungua. Josephine Lupia na afisa misitu kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa amesema kuwa tabia ya baadhi ya wananchi kufanya shughuli za kibinadamu…