JAMII
29 March 2024, 9:36 am
Zaidi ya wanafunzi 200 wasoma chini ya mti skuli ya Minungwini
Skuli ya Minungwini ni baadhi ya skuli ambayo ipo katika wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba na ni miongoni mwa skuli ambazo zimejengwa kwa muda mrefu na miundombinu yake imechakaa. Na Zuhura Juma Wanafunzi 274 wa skuli ya msingi…
7 March 2024, 12:36 pm
Wanafunzi Pemba watakiwa kujiunga na IIT Madrasa
IIT Madrasa ni chuo kikuu chenye kujitegemea kinachotoa kozi mbali mbali za Teknolojia ambapo ujio wake hapa hapa Zanzibar kitaweza kutangaza fursa nyingi na kuleta mabadiliko na mageuzi makubwa ya maendeleo kwa upande wa Zanzibar. Na Mwiaba Kombo WANAFUNZI kisiwani…
9 December 2021, 10:55 am
Waziri Soud aona mbali sekta ya viungo Tanzania
NA ZUHURA JUMA, WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Soud Hassan Nahoda amesema, Tanzania ina nafasi kubwa ya kuendeleza sekta ya viungo ili kupanua wigo wa kufikia ubora wa soko la bidhaa hizo. Akizungumza katika Kongamano la kusaidia…
6 December 2021, 11:03 am
MWANASHERIA: Wazazi, Walimu, musiwe miongoni mwa wanaodhalilisha watoto
Na Mwiaba Kombo WAZAZI na walimu wameshauriwa kuwalinda watoto dhidi ya udhalilishaji na kuepuka kuwa miongoni mwa watendaji wa matendo hayo. Akizungumza na wanafunzi katika skuli ya Maandalizi Madungu Chake Chake, mwanasheria kutoka Kituo cha Huduma za Sheria (ZLSC) Pemba…
12 November 2021, 5:58 am
Waandishi acheni woga ibuweni habari za rushwa(Zaeca)
Na Mwiaba Kombo MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar ‘ZAECA’ ACP, Ahmed Khamis Makarani, amewataka waandishi kuacha woga na kuandika habari za wala rushwa na watoaji, kwani hiyo ndio sehemu ya uwajibikaji. Amesema, uwajibikaji…
25 October 2021, 6:52 am
Mganga Pemba aliyembaka mke, ili amtoe mume wake rumande afungwa miaka 30
Na Mwiaba Kombo. MAHAKAMA ya Mkoa Chake Chake, imemuhukumu mganga wa kienyeji kwenda kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka 30 na kumlipa muathiriwa fidia ya shilingi milioni 1, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mke wa rafiki…
6 October 2021, 11:34 am
PEGAO yataja mwarubaini wanawake kushika hatamu
Na Zuhura Juma. WANANCHI wametakiwa kushirikiana pamoja katika kuwainua wanawake, ili kuhakikisha wanakuwa viongozi kuanzia ngazi ya jamii hadi Taifa. Akizungumza na wananchi wa shehia ya Tumbe Magharibi, Mkurugenzi wa Jumuiya ya PEGAO Pemba Hafidh Abdi Said amesema, wanawake wanao…
5 October 2021, 2:34 pm
TAMWA ZNZ yasaidia utatuzi wa uharibifu wa Mazao ya Wajasiriamali Pemba
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar- TAMWA-ZNZ leo octoba 05,2021 kimekabidhi Waya wa uzio kwaajili ya kuweka kwenye shamba la wajasiriamali linalomilikiwa na kikundi cha TUSIFE MOYO kilichopo Shehia ya Kangagani, Wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba…
1 October 2021, 9:17 am
Wakulima 50 Pemba wanufaika na vifaa kupitia mradi wa VIUNGO
Na Gaspary Charles JUMLA ya wakulima hamsini wa bustani za nyumbani Kisiwani Pemba katika kipindi cha mwaka wa kwanza wa utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda wamewezeshwa vifaa vya kilimo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi huo unaolenga…
1 October 2021, 9:12 am
7000 watoroka Skuli Wilaya ya Micheweni
Na Ali Kombo PEMBA Zaidi ya Wanafunzi 7000 wilaya ya Micheweni hawaendi skuli na kuifanya wilaya hiyo ikawa inaongoza kwa wanafunzi walio watoro licha ya kuonekana ni ya mwanzo kitaifa kwa wanafunzi waliofaulu Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya…