Mazingira FM
utatuzi wa kero
17 February 2024, 10:42 pm
Mtelela: Viongozi fanyeni ziara na mikutano kutatua kero za wananchi
Katibu tawala wilaya ya Bunda amewaelekeza madiwani chini ya mwenyekiti wa halmashauri na wataalam wa halmashauri wilaya ya Bunda chini ya mkurugenzi mtendaji kufanya ziara na mikutano ya hadhara ili kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Na Adelinus Banenwa. Katibu…