Mazingira FM

Ufugaji

10 May 2024, 6:33 pm

Mrida; serikali inatushirikisha sisi wafugaji

Kwa mwaka wa 2023 ha 2024 zaidi ya majosho 246 nchi nzima hii inaonesha serikali inawajali wafugaji. Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa wafugaji taifa Ndugu Mrida Mshota amewataka maafisa mifugo kuwatembelea wafugaji na kuwapatia elimu badala ya kukamata mifugo yao.…

11 April 2024, 11:23 am

Wafugaji wamchagua Mshota mwenyekiti taifa

Mrida Mshota ambaye ni mjumbe wa bodi ya wakurugenzi NARCO amefanikiwa kutetea nafasi yake ya uenyekiti wa wafugaji taifa katika uchaguzi uliofanyika 8 April 2024 Dodoma. Na Adelinus Banenwa Mrida Mshota ambaye ni mjumbe wa bodi ya wakurugenzi NARCO amefanikiwa…