Mazingira FM
sheria
21 March 2024, 7:20 pm
Anayetuhumiwa kubaka, kulawiti mwanafunzi apandishwa kizimbani Bunda
Bunda: Mwalimu aliyetuhumiwa kubaka, kulawiti mwanafunzi apandishwa kizimbani akana mashtaka arudishwa rumande Na Adelinus Banenwa Leo tarehe 21/03/2024 katika mahakama ya Wilaya Bunda amepandishwa kizimbani Vicent Joseph Nkunguu umri miaka 36 mwalimu mkuu shule ya msingi Masahunga kwa tuhuma za kujaribu…