Mazingira FM
Miundombinu
24 April 2024, 9:52 am
Mto wafurika, wanafunzi sekondari Sizaki wakwama kurejea nyumbani
Wanafunzi 26 wa sekondari ya Sizaki washindwa kurejea nyumbani baada ya kukuta mto umefurika maji. Na Edward Lucas Wanafunzi 26 shule ya sekondari Sizaki wameshindwa kurudi kwao Kisangwa April 23, 2024 na kulazimika kulala mtaa wa Mcharo baada ya kushindwa…