Mazingira FM
mahakamani
13 April 2024, 6:34 pm
Aliyebaka ahukumiwa kupigwa viboko 6 na kuachiwa
Mahakama ya willaya ya bunda imemuhukumu Mshtakiwa Frank Majani (18) kuchapwa viboko sita (6) baada ya kupatika na hatia kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano ambaye pia ni binamu yake. Na Adelinus Banenwa Jeshi la Magereza Bunda…