Mazingira FM
kushambuliwa na mamba
17 February 2024, 9:52 pm
Bunda: Mamba wanatumaliza kwa kuwa hatuna maji ya bomba
Ukosefu wa huduma ya maji ya bomba yatajwa kuwa chanzo cha wananchi kushambuliwa na mamba Halmashauri ya wilaya ya Bunda. Na Adelinus Banenwa Ukosefu wa huduma ya maji ya bomba yatajwa kuwa chanzo cha wananchi kushambuliwa na mamba Halmashauri ya…