Mazingira FM

habari

17 April 2024, 11:55 pm

Radi yaua mtoto Bunda, mwingine ajeruhiwa wakiwa ndani

Mtoto mmoja afariki dunia na wengine watatu wanusurika kifo huku mwingine akijeruhiwa vibaya baada ya kupigwa radi wakiwa ndani ya nyumba kujikinga mvua. Na Edward Lucas Magreth Gomisi (7) amefariki dunia na ndugu zake watatu wakinusurika kifo huku mmoja akiwa…