Loliondo FM
Ulawiti
6 February 2024, 3:41 pm
Hakimu atumia pombe kumlawiti dereva bodaboda Loliondo
l Matukio ya ulawiti yamekuwa ayatendeki kwa kiasi kikubwa na viongozi wa utoaji haki kwani imekuwa ni mara chacheĀ kusikia yakiripotiwa na hukumu zikitolewa huku kwa wilaya ya Ngorongoro likiwa ni tukio la kwanza kuripotiwa la hakimu kutuhumiwa kutenda kosa…