Keifo FM

Siasa

19 June 2024, 15:44

Mwakitalu apasua Nyasa kuwafuata vijana kambini Ikombe

“Vijana jitokezeni kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa chama kiko tayari kuwaunga mkono”Ramadhan Mwakitalu. James Mwakyembe Wakati kambi ya umoja wa vijana ikiendelea kupamba moto huko Ikombe hapa wilayani kyela mjumbe wa mkutano mkuu CCM…

6 June 2024, 17:32

Kyela DC yang’ara ukusanyaji mapato

“Itakuwa haina maana kama mnaweza kukusanya fedha yote inayozidi harafu mkashindwa kutekeleza miradi ya maendeleo ya wananchi ili nao waone umuhimu wa kutoa ushuru” Na Masoud Maulid Mkuu wa mkoa wa mbeya Comred Juma Homera ameipongeza halmashauri ya wilaya ya…

4 June 2024, 17:11

Wengine 9 waikacha CHADEMA Kyela

Wimbi la wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema kukihama chama hicho hapa wilayani kyela limeendelea kushika kasi baada ya wananchama wake wengine tisa kujinga Ccm. Na Aidan Mwasampeta Siku chache baada ya wanachama wa Demokrasia na Maendeleo kutimka…

28 May 2024, 15:58

Swebe: CCM acheni uoga CHADEMA tunawanyima usingizi

Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kyela Victoria Swebe amekitaka Chama Cha Mapinduzi CCM kuacha uoga wa kiasiasa badala yake wajitokeze hadharani katika kuwahudumia wananchi. Na Masoud Maulid Saa chache baada ya Chama Cha Mapinduzi CCM Kyela kutangaza kuwapokea wanachama wapya…