Karagwe FM

Kitaifa

11 March 2022, 8:55 am

Wakuu wa Idara wakalia kuti kavu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro kuwachukulia hatua  za kiutumishi wakuu wa Idara wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero waliohusika na ukiukwaji wa…

3 December 2021, 9:58 pm

Neema kuwashukia wana KCU 1990 L.T.D

Wajumbe wa bodi ya Chama Kikuu Cha Ushirika Kagera KCU 1990 LTD wamefanya mazungumzo na Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Dr Benson Ndiege juu ya masoko ya zao la kahawa pamoja na mikakati uboreshaji wa shughuli za Ushirika zinazotekelezwa…

22 September 2021, 1:52 pm

Tundu Lissu na Wenzake Wapata Neema.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeifuta kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleao (Chadema) Tanzania Bara, Tundu Lissu na wenzake wanne.Ni baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuieleza mahakama hiyo kuwa hana…

5 May 2021, 2:40 pm

Bilakwate: Gongo iruhusiwe Kagera

Mbunge wa jimbo la Kyerwa mkoani Kagera Innocent Bilakwate ameiomba serikali kuruhusu pombe ya moshi au Gongo inayotokana na ndizi kali maarufu kama “ENKONYAGI au KARIINYA” akidai kuwa pombe hiyo ni halali kwa sababu inatokana na ndizi ambazo ni chakula…

8 April 2021, 12:50 pm

Ni Tv za online kwanza

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa ameagiza TCRA kuzifungulia TV za mtandaoni zote (Online TV) ambazo zilifungiwa ikiwa utekelezaji wa maelekezo ya Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa April 06 ,2021…