Joy FM

maendeleo

15 January 2025, 12:09

Wakristo watakiwa kufanya kazi kujiongezea kipato

Kufanya kazi kwa bidii na kumiliki uchumi kwa mtu mmoja mmoja kunachangia pato la nchi kuinuka na kupanda zaidi Na Timotheo Leonard Waumini wa Kanisa la Pentekoste Motomoto PMC tawi la Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji wameshauriwa kufanyakazi kwabidii kwalengo…

14 January 2025, 14:09

Akina mama watakiwa kuheshimu wenza wao

Ni katika Sherehe Maalumu ya kumkabidhi zawadi ya Gari Askofu mstaafu wa Kanisa la Pentecostal Assemblies of God Tanzania P.A.G Michael Kulwa ambayo imenunuliwa na idara ya akina Mama wa Kanisa Na Lucas Hoha Idara ya akina Mama  wa Kanisa…

13 January 2025, 14:27

Wavuvi ziwa Tanganyika walia na upepo mkali mitumbwi ikipotea

Wavuvi Mkoani Kigoma wametakiwa wametakiwa kufuatailia utabiri wa hali ya hewa ili kuweza kufahamu muda gani wa kuingia ziwani kuvua na kuepuka dhoruba za upepo wawapo ziwani. Baadhi ya wavuvi katika Ziwa Tanganyika wamelalamikia changamoto ya upepo mkali na mvua…

13 January 2025, 13:01

Viongozi wa vijiji watakiwa kusoma mapato na matumizi

Uomaji wa mapato na matumizi kwa wananchi ni miongoni mwa viyu ambavyo vinatajwa kuwa sehemu ya kushawishi wananchi kushiriki kikamilifu kwenye suala la maendeleo kwenye maeneo yao. Na Michael Mpunije – Kasulu Viongozi Serikali za vijiji halmashauri ya wilaya ya…

11 January 2025, 12:19

DC Kigoma ashughulikia changamoto za bodaboda

Siku chache baada ya madereva pikipiki maarufu bodaboda mjiji Kigoma kufanya maandamano kufuatia Oparesheni ya Jeshi la Polisi ya kamatakamata madereva ambao wanakiuka sheria za usalama barabarani iliyosababisha vurugu hatimaye Mkuu wa wilaya Kigoma ameitisha kikao na madereva hao ambapo…

10 January 2025, 12:39

DED Buhigwe atakiwa kusimamia ujenzi sekondari Kahimba.

wakati shule zikitarajiwa kufunguliwa wiki ijayo jumatatu ya januari 13 ambapo maelengo ya serikali ni kuhakikisha miundombinu ya madarasa inakuwa tayari na wanafunzi kuanza kuyatumia. Na Josephine Kiravu. Katibu Tawala mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa amemtaka Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri…

9 January 2025, 11:25 PM

Redio Fadhila wapigwa msasa uandishi unaozingatia maadili

Waandishi wa habari wametakiwa kuandika habari kwa kuzingatia maadili ya uandishi ili kuepuka kuingia kwenye matatizo wakati wa uchaguzi mkuu. Na Lilian Martin Mhariri wa radio tadio Hilali Ruhundwa ametembelea kituo cha Radio Fadhila leo Januari 09, 2025 na kutoa…

8 January 2025, 13:05

Wavuvi washauriwa kufuga samaki kutumia vizimba

Ili kuhakikisha samaki zinaongezeka ndani ya ziwa Tanganyika, serikaliimeendelea kuweka mikakati mbalimbali ya kuwawezesha wavuvi na kuwahimiza kutumia vizimba ambavyo vitatumika kwa ajili ya ufugaji wa samaki na kusaidia kuharibu mazalia ya samaki ndani ya ziwa hilo. Na Timotheo Leonard…