Joy FM
Joy FM
22 January 2025, 11:04
Zaidi ya Bil.42 makadirio mapato na matumizi Bil 5.2 zinatokana na mapato ya ndani mwaka wa fedha 2025-2026 zikitarjiwa kuelekezwa kwenye miradi ya kimkakati Na Luas Hoha Baraza la madiwani katika Manispaa ya Kigoma Ujiji limepitisha rasimu ya bajeti ya…
22 January 2025, 9:49 am
Makaburi yenye vigae ( marumaru ) na mikanda ( strips) ndiyo yanaonekana kulengwa zaidi. Na Adelinus Banenwa Katika hali isiyo ya kawaida zaidi ya makaburi 50 yaliyopo mtaa wa Zanzibar kata ya Nyasura Halmashauri ya mji wa Bunda yamevunjwa na…
20 January 2025, 17:05
Wakati Taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani viongozi wa dini wameendelea kuhamasisha wananchi kushiriki katika uchaguzi huo ambao ndio utatoa mwelekeo wa miaka mitano ijayo. Na Hagai Ruyagila Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Fabian…
20 January 2025, 11:44
Ujenzi wa vyoo bora kwa kila kaya inatajwa kuwa sehemu ya mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu. Na Michael Mpunije Wakuu wa kaya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kujenga vyoo bora na kuzingatia kanuni za…
20 January 2025, 11:06
Kila mzazi ana wajibu wa kuhakikisha mtoto wake anapata haki ya elimu bora na elimu bora huanza na maandalizi bora kwa mtoto. Na Hagai Ruyagila Wazazi na walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kutambua umuhimu wa elimu kwa kuwapeleka shule…
January 17, 2025, 5:41 pm
Na Neema Nkumbi Mwili wa Mwanamke Asha Mayenga anayekadiriwa kuwa na miaka 62 alieuawa na kuzikwa Malindi Mtaa wa Seeke Kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama umefukuliwa na kutambuliwa na ndugu zake. Tukio la kufukua kaburi limefanyika januari 17, 2025 ambapo…
17 January 2025, 17:04
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amelazimika kukutana na madereva bodaboda na kusikiliza Kero zao ikiwa ni wiki moja imepita tangu waandamane na kufunga barabara wakishnikiza Jeshi la Polisi kuacha kuwakata. Na Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma…
15 January 2025, 17:02
Serikali ya Tanzania inaendelea kudhibiti wahamiaji haramu kuingia nchini kinyume cha sheria lengo ikiwa ni kukabilia na vitendo vya uhalifu. Na James Jovin Madereva boda boda wilayani buhigwe mkoani kigoma wameonywa kuacha tabia ya kubeba wahamiaji haramu na kuwaingiza nchini…
15 January 2025, 13:00
Halmashauri ya Wilaya Kasulu inatekeleza programu ya mfuko wa mikopo kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kama ilivyo kwa Halmashauri zote nchini kufuatia agizo la Serikali la mwaka 1998 kuwa Halmashauri zote nchini zianzishe mfuko huo kwa kutenga asilimia…
15 January 2025, 12:34
Kutokana na umuhimu wa chakula kwa maisha ya binadamu, ustawi na maendeleo ya nchi, suala la kuhakikisha kuwa chakula ni salama kwa matumizi ya binadamu linapewa kipaumbele na kuzingatiwa kikamilifu kwa lengo la kulinda afya ya walaji na kuwezesha utoshelevu…