Joy FM

maendeleo

28 January 2025, 14:37

RC Kigoma akabidhi pikipiki na gari kusambaza chanjo

Serikali imesema itahakikisha inawafikia watoto katika zoezi la usambazaji wa chanzo katika wilaya za mkoa wa kigoma Na Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amekabidhi pikipiki 12 pamoja na gari moja kwa ajili ya kusambaza chanjo katika…

25 January 2025, 8:02 pm

Mahakama ya Bunda yazindua maadhimisho wiki ya sheria

Miongoni mwa maeneo yatakayokuwa yanalengwa zaidi katika wiki hii ya sheria ni pamoja na migogoro ya ardhi, mirathi, ndoa na talaka miongoni mwa maeneo mengine. Na Adelinus Banenwa Mahakama  ya wilaya ya bunda imezindua rasmi leo wiki ya sheria inayoongozwa…

24 January 2025, 6:03 pm

UWT Bunda yazindua maadhimisho miaka 48 ya CCM

UWT Bunda mwaka huu wamepanga kufanya shughuli mbalimbali za kijamii katika kuelekea sherehe hizo za miaka 48 ya CCM ambazo ni pamoja na kupanda miti walau 50 kila kata, kufanya usafi katika ofisi za umma, kutembelea makundi ya watu wasiyojiweza…

24 January 2025, 12:48

Kasulu mji yakabidhi milioni 34 kwa vikundi vitano

Utoaji wa mikopo kwa vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu inatajwa kuwa mkombozi kwa wanufaika wa mikopo hiyo kiuchumi. Na Hagai Ruyagila Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma imekabidhi hundi ya mkopo wa zaidi ya shilingi milioni 34…

24 January 2025, 09:06

Waziri Mbarawa aitaka TPA Kigoma kuimarisha utendaji kazi

Serikali imesema kuwa itaendelea kuboresha bandari nchi kwa lengo la kuwavutia wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi. Na Kadislaus Ezekiel Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali imedhamiria kuufungua mkoa wa kigoma  kupitia sekta ya usafirishaji kwa njia…

24 January 2025, 08:42

‘Wananchi bado wana uelewa mdogo wa kisheria’

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amewataka wananchi kujitokeza kushiriki kwenye kampeni ya Mama Samia Legal Aid ili waweze kupata elimu ya masuala ya kisheria. Na Josephine Kiravu Imeelezwa kuwa uelewa wa kisheria kwa wananchi hasa wanaoishi maeneo ya…

22 January 2025, 1:05 pm

Vitambulisho elfu 12 vyakwama ofisi za NIDA Bunda

Vitambulisho elfu 12 ni kati ya vitambulisho 62,370 vilivyoletwa Bunda. Na Adelinus Banenwa Afisa usajili mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA wilaya Bunda Fredson John Samwel amesema zaidi ya vitambulisho elfu 12, vimerejeshwa ofisi za NIDA wilaya kutoka kwenye ofisi…