Joy FM

elimu

11 April 2025, 17:28

Taasisi za fedha zatakiwa kutoa ushirikiano kwa wajasiriamali

Wasariamali na wafanyabiashara wadogo wamepewa mafunzo yanayolenga kuwainua kiuchumi Na Michael Mpunije Wasimamizi wa taasisi za kifedha wametakiwa kushirikiana na wajasiriamali pamoja na wafanyabiashara wadogo wadogo na wa kati katika kuandaa mpango wa Biashara ili kuhakikisha wanajikwamua kiuchumi. Hayo yamejiri…

9 April 2025, 11:34

Maafisa usafirishaji majini watakiwa kuwa na leseni

Shughuli za usafirishaji kwa njia za maji ni miongoni mwa vyanzo vya mapato kwa taifa la Tanzania pia kwa mwnanchi mmoja mmoja hivyo weledi na ufanisi utafanikisha shughuli hiyo Na Sadick Kibwana Wadau wa usafirishaji wa majini Mkoa wa Kigoma…

27 March 2025, 10:42

Viongozi wa kata na mitaa wapata elimu ya maafa Kigoma

Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu idara ya management ya maafa imetoa elimu kwa watendaji wa kata na mitaa katika Manispaa ya Kigoma Ujiji ya namna ya kupunguza madhara ya maafa kufuatia maafa ya mafuriko, magonjwa ya mlipuko…

25 March 2025, 13:01

Wanafunzi elimu ya watu wazima waomba kuboreshewa miundombinu

November 24 mwaka 2021 aliyekuwa waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako alitangaza kuruhusiwa kurejea shuleni kwa wanafunzi waliokatisha masomo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ujauzito kurejea shuleni kwa mfumo rasmi baada ya kujifungua. Na Josephine Kiravu Wanafunzi…

25 March 2025, 11:28

Madereva wa magari madogo wapatiwa elimu ya usalama barabarani

Madereva wa magari madogo Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wameaswa kuzingatia sheria za usalama barabarani Na Hagai Ruyagila – Kasulu Madereva wa magari madogo ya kubeba abiria katika halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma, wameishukuru serikali ya awamu ya sita kupitia…

25 March 2025, 9:10 am

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya m-pox

Diwani wa wa kata ya kumunyika Bw. Seleman Kwirusha kutoa rai kwa wananchi kuhakikisha wanajikinga na ugonjwa hatari wa homa ya nyami kwa kufuata taratibu za kiafya. Na. Emmanuel Kamangu Diwani wa wa kata ya kumunyika ambaye pia ni Makamu…

18 March 2025, 14:34

NIT yatoa mafunzo ya usalama barabarani Kigoma

Chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT chatoa elimu ya usalama barabarani kwa wananchi mkoani Kigoma Na Hagai Ruyagila Chuo Cha taifa cha usafirishaji NIT kupitia kituo chake cha kikanda cha umahiri katika usalama barabarani kimeandaa mafunzo ya usalama barabarani kwa…