Joy FM

elimu

13 August 2025, 15:57

Wanahabari wapewa mafunzo ya usalama wakati wa uchaguzi

Kuelekea uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na Rais, Waandishi wa habari Mkoani Kigoma wamepewa mafunzo ya usalama kazini hasa kipindi cha uchaguzi N a Josephine Kiravu Wanahabari Mkoani Kigoma wamepatiwa mafunzo ya namna ya kujilinda wakati wa utekelezaji wa majukumu…

7 August 2025, 16:13

Wasimamizi wa uchaguzi zitangatieni sheria za INEC

Msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la Kasulu Mji Nurfus Aziz ametoa maelekezo kwa wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya kata kuhakikisha wanafuata miongozi ya Tume ya uchaguzi Na Hagai Ruyagila Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Kata katika Halmashauri ya Mji…

July 31, 2025, 6:00 pm

Kagera iwe Kanda Maalum kukabiliana na majanga

Serikali imeombwa kuufanya Mkoa wa Kagera kuwa Kanda Maalum ili kukabiliana na majanga ambayo yamekuwa yakiukumba mkoa huo mara kwa mara ikiwemo magonjwa na majanga ya asili. Na Anold Deogratias Mkuu wa wilaya ya Bukoba Erasto Sima ameiomba serikali kuutambua…

30 July 2025, 11:57

Waziri Gwajima ataka elimu ya ufundi iwe chachu ya fursa kwa vijana

Vijana waliohitimu mafunzo katika chuo cha veta Kigoma wametakiwa kutumia ujuzi walioupata kuchangamkia fursa zilizopo kujiajiri. Na Orida Sayon Waziri  wa maendeleo ya jamii, wanawake, jinsia na makundi maalumu Mh. Doroth Gwajima ameelekeza wakurugenzi wa maendeleo ya jamii nchini kupeleka…

28 July 2025, 09:55

Tusiwafiche watoto wenye ulemavu-DC Kasulu

Wazazi na walezi wenye watoto wenye ulemavu wameshauriwa kutowafisha watoto wenye mahitaji maalumu kwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki zao msingi. Na Hagai Ruyagila Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Isaac Mwakisu, ametoa wito kwa wazazi na walezi wilayani humo…

July 23, 2025, 11:46 pm

Wasimamizi wa uchaguzi watakiwa kufuata taratibu, sheria

Watendaji wa uchaguzi katika mikoa ya Arusha na Manyara wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia taratibu, kanuni na sheria walizofundishwa, kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Na Jenipha Lazaro Akizungumza katika hafla ya kufunga mafunzo ya wasimamizi wa uchaguzi…

23 July 2025, 16:05

Wasafiri waombwa kutoa taarifa za uvinjifu wa amani

Wasafiri wametakiwa kutoa taarifa za uvunjifu wa amani wakati wakiwa safarini. Na Hagai Ruyagila Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama barabarani Wilayani Kasulu limetoa wito kwa wasafiri wote wanaotoka Wilaya hiyo kuelekea maeneo mengine kutoa taarifa mapema wanapobaini dalili zozote…