Joy FM

elimu

28 October 2024, 13:03

Wahitimu FDC Kasulu watakiwa kuwa wabunifu kujipatia kipato

Katibu tawala wilaya Kasulu Mkoani Kigoma Bi. Theresia Mtewele amesema tayari serikali imefungua zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halamshauri kupitia mapato ya ndani na hivyo vijana wanaohitimu mafunzo ya ufundi hawana budi kuchangamkia fulsa hiyo…

25 October 2024, 13:40

Idadi ya wanaojifungulia kwa wakunga wa jadi yapungua Kibondo

Serikali imesema itaendelea kuhamasisha wajawazito kuhakikisha wanajifungulia kwenye vituo vya kutolea huduma za afya ili kuendelea kupunguza vifo vya watoto wachanga na watoto. Na James Jovin – Kibondo Idadi ya akina mama wajawazito wanaojifungulia kwa wakunga ama waganga wa jadi…

24 October 2024, 09:06

Watendaji watakiwa kuwa wabunifu utoaji wa chakula shuleni

Serikali wilayani Buhigwe imesema inaendelea kuweka mikakati mbalimbali ya kukabiliana na tatizo la udumavu kwa watoto ikiwa ni pamoja na kusimamia suala la chakula shuleni ili wanafunzi waweze kupata chakula. Na Emmanuel Kamangu – Buhigwe Mwenyekiti wa kamati ya lishe…

22 October 2024, 10:43

Kasulu yafikia lengo uandikishaji daftari la mkazi

Wakati zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la makaazi likifikia tamati oktoba 20, 2024, Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya Kasulu Dkt. Semistatus Mashimba amesema halmashauri hiyo imefikia lengo la zoezi hilo la kijiandikisha. Na Michael Mpunije – Kasulu Wilaya ya Kasulu…

22 October 2024, 09:19

Ufadhili wa masomo ya ufundi wawakosha wanafunzi Kakonko

Serikali wilayani Kakonko imesema itaendelea kuwapa mikopo vijana wanahitimu mafunzo ya ufundi stadi ili waweze kutumia mikopo hiyo kujiajiri kupitia shughuli mbalimbali za uzalishaji mali na kujiongezea kipato. Na James Jovin – Kakonko Wanafunzi waliohitimu mafunzo ya ufundi stadi katika…

18 October 2024, 16:56

DED Kasulu ahimiza wananchi kutumia muda uliobaki kujiandikisha

Wakati zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la mkaazi kufungwa hapo oktoba 20 mwaka huu, wananchi wametakiwa kutumia muda huo kujitokeza na kujiandikisha ili waweze kupata nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa…

17 October 2024, 17:19

Waandishi waendesha ofisi walia na ujio wa akili mnemba

Watumishi wa Umma katika kada ya Waandishi waendesha Ofisi mkoani Kigoma wamelalamikia baadhi ya wakuu wa idara na vitengo kushidwa kuthamini kazi zao huku wakiwa katika hatari ya kupoteza ajira kutokana na mabadiliko ya Sayansi na Technolojia baada ya kazi…