Joy FM

elimu

10 February 2025, 11:45

M-mama yaja na suluhisho la vifo vya wajawazito, watoto

Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa afya wameendelea kuweka mikakati ya kupata suluhisho la tatizo la vifo vya wajawazito na watoto wachanga kwa kuhakikisha huduma za dharula zinapatikana kwenye jamii. Na Emmanuel Kamangu Katika kukabiliana na vifo vya mama…

6 February 2025, 11:56

Diwani atoa msaada wa madawati kwa shule sita Kasulu

Wadau mbalimbali wa maendeleo wametakiwa kuwa na desturi kuchangia kwenye maendeleo ya shule ili kuhakikisha wanafunzi wanasoma katika mazingira mazuri na kuongeza ufaulu Na Emmanuel Kamangu Jumla ya madawati 210 yenye thamani ya zaidi ya milioni 11 zimetengenezwa na diwani…

4 February 2025, 11:47

Mfumo wa tehama wasaidia kumaliza mashauri kwa wakati Geita

Mahakama kuu Masjala ndogo ya Geita Mkoani Geita imesema matumizi ya teknolojia imesaidia kuharakisha na kumaliza mashauri kwa wakati Imeelezwa kuwa matumizi ya mfumo wa tekonojia TEHAMA katika uendeshaji wa shughuli za kimahakama umesaidia kumaliza mashauri ndani ya wakati na kwa haraka…

4 February 2025, 11:26

Serikali yaweka mikakati kutatua changamoto ya madawati Kasulu

Serikali katika Halmashauri ya Mji Kasulu imesema kupitia bajeti iliyopitishwa kuweka kipaumbele cha ununuzi wa madawati katika halmashauri hiyo ili kusaidia kupunguza uhaba wa madawati uliopo katika shule mbalimbali. Na Michael Mpunije Idara ya Elimu halmashauri ya mji Kasulu mkoani…

4 February 2025, 10:53

Madereva wanaopaki maroli pembezoni mwa barabara kushushiwa rungu

Madereva wa maroli katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu wametakiwa kuzingatia sheria na kuacha kupaki magari yao pembezoni mwa barabara. Na Emmanuel Kamangu Baraza la madiwani  halamshauri ya mji wa Kasulu limemuagiza mkurugenzi wa mji kasulu kuhakikisha anawashugulikia madereva wote…

31 January 2025, 13:07

Watumishi wa umma watakiwa kuzingatia utawala bora Buhigwe

Watumishi wa umma Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia utawala bora ili kuhakikisha wanafikia azma ya kufikisha maendeleo kwa wananchi. Na Emmanuel Kamangu Katibu tawala wa Wilaya ya Buhigwe Utefta Mahega amewataka Watumishi wa umma Wilaya ya…

31 January 2025, 11:25

TAKUKURU Kigoma yabaini mapungufu miradi 31 ya maendeleo

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kigoma imebaini mapungufu madogo madogo katika miradi 31 ya maendeleo kati ya miradi 32. Na Orida Sayon Akitoa taarifa ya ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo katika kipindi cha kuanzia mwezi…

30 January 2025, 15:17

Baraza la madiwani lapitisha bajeti ya bilioni 35 Kasulu

Serikalikatika halmashauri ya wilaya Kasulu imesema itaendelea kusimamia miradi ya maendeleo ili iweze kusaidia wananchi Na Hagai Ruyagila Baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma limepitisha bajeti ya zaidi ya shilingi bilioni 35 kwa mwaka wa fedha…

28 January 2025, 14:37

RC Kigoma akabidhi pikipiki na gari kusambaza chanjo

Serikali imesema itahakikisha inawafikia watoto katika zoezi la usambazaji wa chanzo katika wilaya za mkoa wa kigoma Na Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amekabidhi pikipiki 12 pamoja na gari moja kwa ajili ya kusambaza chanjo katika…

25 January 2025, 5:04 pm

Mazingira machafu mighahawani yanavyohatarisha maisha ya watu

Mama n’tilie wakiendelea na shughuli zao za kupika chakula. Picha kutoka maktaba Walaji wa vyakula vya mighahawani walia na changamoto wanazozipata kutokana na vyakula hivyo. Na Kelvin Mambaga Wananchi wa wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wameeleza namna ambavyo mazingira ya…