Joy FM

elimu

12 March 2025, 12:41 pm

Tuimarishe usafi kujikinga na magonjwa ya mlipuko kama marburg

Wananchi wametakiwa kuimarisha usafi na kujikinga na magonjwa ya mlipuko kama marburg katika maeneo yao. Na Abdunuru Shafii Wakazi wa mtaa wa Mjimwema kata ya Nguruka halmashauri ya wilaya Uvinza wameeleza namna wanavyojikinga na magonjwa ya mlipuko ikiwemo ugonjwa wa…

10 March 2025, 13:43

“Vijana kambi ya wakimbizi Nyarugusu msitumike kuvuruga amani”

Serikali na mashirika yanayohudumia wakimbizi katika kambi ya Nyarugusu iliyopo Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wamewataka vijana kuachana na makundi yanayoweza kuwaingiza katika kufanya vitendo viovu ambavyo vinaweza kusababisha uvunjifu wa amani ndani ya kambi na nje. Na Tryphone Odace Vijana…

7 March 2025, 09:43

NEMC yagawa miti kwa shule tano Kigoma

Jamii mkoani Kigoma imeaswa kuwa na desturi ya kupanda miti ili kusaidia kuendelea kutunza mazingira na kupunguza mabadiliko ya tabianchi. Na Timotheo Leonad Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC Kanda ya Magharibi, imegawa miti zaidi ya…

6 March 2025, 09:40

Waamini wapewa mbinu kufanikisha malengo yao

Waumini wa Dini ya Kikristo Mkoani Kigoma Wametakiwa kumtegemea Mungu pasipo kukata tamaa ili kutimiza malengo yao waliyojiwekea katika maisha yao. Na, Hagai Ruyagila Kauli hiyo imetolewa na askofu mkuu wa kanisa la FPCT Tanzania Askofu Steven Mulenga wakati wa…

5 March 2025, 12:00 am

Walaji wa wanyama wa mwituni hatarini kupata marburg

Ameseama jamii inapaswa kuchukua tahadhari kwa kuepuka kugusa au kula nyama ya popo, au nyama ya mnyama wa mwituni akiwemo nyani. Na Theresia Damasi Wananchi wa Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma na maeneo ya jirani wameshauriwa kuchukua tahadhari juu ya…

4 March 2025, 13:42

Watanzania wakemee vitendo vya ukatili

Vitendo vya ukatili vinavyofanywa na wanafamilia au ndugu wa karibu na sehemu kubwa ya vitendo hivyo havitolewi taarifa kwenye vyombo vya sheria ambapo vimepelekea ongezeko la ukatili katika jamii Na Lucas Hoha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

3 March 2025, 12:13

Dkt. Mpango mgeni rasmi kongamano la wanawake Kigoma

Siku ya wanawake duniani ilianza kutokana na jitihada za wanawake 15,000 mwaka 1908 walioandamana mjini New York Marekani wakidai kupunguziwa muda wa kufanya kazi, ujira wa kuridhisha na haki ya kupiga kura. Na Lucas Hoha Makamu wa Rais wa Tanzania…

28 February 2025, 4:20 pm

Chukueni tahadhari dhidi ya ugonjwa wa marburg

Wafanyakazi wa Uvinza FM wamepatiwa elimu juu ya ugonjwa wa marburg na namna ya kujilinda na ugonjwa huo. Na Linda Dismas Msimamizi wa vipindi wa Uvinza fm Bw. Abdunuru Shafii ameeleza namna ambavyo ugonjwa wa Marburg unaenezwa pamoja na kuwataka…