Joy FM

Afya

25 June 2024, 11:54

FPCT Kigoma yatoa msaada kwa watoto yatima

Jamii na wadau wa maendeleo Mkoani Kigoma wameombwa kujitokeza na kuendelea kusaidia watoto yatima wanaolelewa na kituo cha matyazo kilichopo kata ya kalinzi halmashauri ya wilaya kigoma. Na Lucas Hoha – Kigoma Kanisa la The FreeĀ  Pentekosite Church of Tanzania…

25 June 2024, 09:55

Tani 3.6 za bidhaa bandia zateketezwa na TBS Kigoma

Jamii mkoani Kigoma imetakiwa kuendelea kushirikiana na wafanyabiashara kubaini na kutoa taarifa za watu wanaojihusisha na uingizaji wa bidhaa zisizokuwa na ubora kwa mamlaka husika ili waweze kuchukuliwa hatua za kisheria. Na Emmanuel Matinde -Kigoma Bidhaa mbalimbali zenye uzito wa…

19 June 2024, 11:59

World vision kusaidia wanafunzi kitaaluma

Wadau wa maendeleo wilayani kasulu mkoani kigoma wametakiwa kuunga mkoni juhudi za serikali katika kutatua changamoto zinazokabili sekta ya elimu ikiwemo upungufu wa vyumba vya madarasa. Na Michael Mpunije Shirika la World vision Tanzania kanda ya Kigoma limesema litaendelea kushirikiana…

18 June 2024, 16:27

Watoto elfu 60 hawapati chakula shuleni

Wazazi na walezi wilayani kasulu mkoani kigoma wametakiwa kuendelea kuunga mkoano juhudi za serikali katika kuchangia chakula shuleni ili kusaidia kudhibiti utamlo kwa watoto wa shule za msingi na sekondari. Na Michael Mpunije – Kasulu Zaidi ya watoto elfu 60…

5 June 2024, 12:55

“Wanawake wanabakwa na hawatoi taarifa Kasulu”

Vitendo vya ubakaji kwa wanawake hasa wanaojishughulisha na kilimo katika maeneo ya mashambani wilayani kasulu vimeendelea kushamiri huku wahanga wakiogopo kutoa taarifa za vitendo hivyo kwa kuhofia kuacha na wenza wao. Na Michael Mpunije Wananchi wilayani Kasulu mkoani kigoma wameiomba…

27 May 2024, 09:29

Zaidi ya watoto elfu 10 wadumaa Kibondo

Serikali wilayani kibondo mkoani kigoma imesema itaendelea kutumia siku ya afya na lishe ya kijiji kutoa elimu ya namna ya kuanda lishe bora kwa wananchi ili waweze kufahamu namna ya kukabiliana na lishe duni kwa watoto ambao wameonekana kuwa na…

23 May 2024, 09:22

Elimu ndogo ya lishe chanzo cha udumavu kwa watoto

Licha ya jitihada mbalimbali za wadau na serikali katika kutoa elimu ya lishe kwa jamii bado tatizo la lishe limekuwa pasua kichwa kwani bado watoto wanasumbuliwa na magonjwa yatokanayo na ukosefu wa lishe ya kutosha. Na James Jovin – Kibondo…

21 May 2024, 11:47

Kasulu: Zingatieni vipimo vya dawa ya kutibu maji

Dawa inayotumika kutibu maji kwenye vyanzo vya maji kabla ya kumfikia mtumiaji huenda vipimo vikawa havizingatiwi kutokana na wananchi kulalamikia maji yanatoka kuwa na hali ya dawa na kuwaacha na hofu kuwa wanaweza kupata madhara. Na Michael Mpunije – Kasulu…

17 May 2024, 13:00

Wavuvi Kigoma wapewa maboya kujikoa wakiwa ziwani

Serikali imewataka wavuvi wanaofanya shughuli za uvuvi ndani ya Ziwa Tanganyika kuchukua tahadhari wakiwa ziwani ili kujinga na majanga ya kuzama majini wakiwa wanaendelea na shughuli za uvuvi. Na Orida Sayon – Kigoma Mc Jumla ya vifaa vya uokoaji maboya…